Skip to main content
Skip to main content

Vongozi wa Chama cha ODM wasisitiza kuwa chama kitasalia imara hata baada ya kifo cha Raila Odinga

  • | Citizen TV
    2,791 views
    Duration: 2:04
    Vongozi wa Chama cha ODM wakiongozwa na mwenyekiti wa chama hicho ambaye pia ni gavana wa kaunti ya Homabay Gladys Wanga wasisitiza kuwa chama kitasalia imara licha changamoto ya kifo cha Raila Odinga na kutoweka chamani kwa baadhi ya wanachama muhimu.