Skip to main content
Skip to main content

Vugu vugu la wanawake wa kizazi cha Gen Z lazinduliwa Kakamega

  • | KBC Video
    99 views
    Duration: 1:40
    Vugu vugu la wanawake wa kizazi cha Gen Z katika tawi la chama cha UDA huko Kakamega,limezindua kampeini ya kuwashawishi vijana zaidi wa kike,kujiandikisha kama wapiga kura kabla ya uchaguzi mkuu ujao.Juhudi hiyo inalenga kuhimiza kuongezwa kwa muda wa kujiandikisha kupiga kura kwa vijana wa Gen Z,ili kuhakisha kwamba vijana wengi wanajiandikisha kupiga kura. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive