Skip to main content
Skip to main content

Vurugu Kipkaren | Zaidi ya nyumba 100 zabomolewa

  • | Citizen TV
    9,865 views
    Duration: 3:15
    Vurugu lilishuhudiwa katika mtaa wa Kipkaren jijini Eldoret, kaunti ya Uasin Gishu, ambako wakazi wenye ghadhabu wamebomoa zaidi ya nyumba 100 wanazosema zimejengwa kwenye ardhi ya umma. Wakazi hawa wakimlaumu mwakilishi mmoja wa eneo hilo kumiliki ardhi hiyo kinyume na sheria. Wakazi hawa wamesema wataendelea kubomoa nyumba zaidi wanazosema zimejengwa kwenye ardhi ya umma.