Vuta ni kuvute chamani UDA

  • | K24 Video
    31 views

    Siku chache tu baada ya vijana kutoka chama cha Ford Kenya kumkashifu katibu mkuu wa chama cha UDA Cleophas Malala viongizi wa chama cha Jubilee wamejitokeza kumtetea Malala na kutaka viongozi wa vyama hivyo tanzu kuvivunjilia mbali na kuunda chama kimoja