Vyama vikuu vya kisiasa vyawasilisha mapendekezo kwenye mazungumzo ya kitaifa

  • | Citizen TV
    691 views

    Mazungumzo ya kutafuta uwiano wa kitaifa yanarejelewa leo katika ukumbi wa Bomas huku vyama vikuu vya kisiasa vikitarajiwa kuwasilisha maoni yake. Vyama vya Kenya Kwanza na muungano wa Azimio One Kenya wanatarajiwa kuwasilisha malalamishi yake mbele ya kamati hii. Miongoni mwa maswala yaliyotarajiwa kujitokeza zaidi mbele ya vikao hivi ni mzozo ambao umeendelea kushuhudiwa katika chama cha Jubilee.