26 Nov 2025 1:45 pm | Citizen TV 208 views Duration: 1:43 Serikali ya Kaunti ya Nandi kupitia Idara ya Kilimo na mashirika imetoa onyo kali kwa maafisa wa vyama vya ushirika wanaokaidi agizo la kuwasilisha vitabu vyao vilivyokaguliwa.