Vyuo vikuu Marekani yapokea wanafunzi wengi kutoka Ghana

  • | VOA Swahili
    34 views
    Katika mwaka wa masomo uliopita, vyuo vya Marekani na vyuo vikuu vilishuhudia ongezeko la asilimia 32 la wanafunzi kutoka Ghana, na kuifanya Ghana kuwa moja ya nchi za 25 duniani kwa kutuma wanafunzi nchini Marekani. Ili kukabiliana na ongezelo la maslahi, Ubalozi wa Marekani nchini Ghana umefungua kituo kipya cha kupata habari kwa vijana wanaofikiria kuja kusoma nchini Marekani. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.