Waalimu watoa mafunzo kuhusu mbinu za kuzuia dhulma

  • | Citizen TV
    36 views

    Kaunti ya Kajiado bado inakabiliwa na changamoto ya kukabiliana na dhuluma za kijinsia. Maambukizi mpya ya ukimwi, dhuluma za kijinsia Na mimba za utotoni Ni masuala yanayotokana na dhulma hizo za kijinsia.