Skip to main content
Skip to main content

'Waambieni Watanzania mwenyekiti yupo vizuri hajachoka'

  • | BBC Swahili
    110,739 views
    Duration: 51s
    Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amewahakikishia Watanzania kuwa bado yuko imara na hatarudi nyuma katika mapambano yake ya kisiasa. Kauli hiyo ameitoa baada ya kesi ya uhaini inayomkabili kuahirishwa hadi Jumatatu, Septemba 14, 2026. #bbcswahili #tanzania #uhaini #chadema Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw