Waandamanaji wakosa kufika uwanja wa Kamukunji

  • | Citizen TV
    5,172 views

    Uwanja wa kamukunji uliotarajiwa kutumika kwa mkutano wa leo wa muungano wa azimio ulisalia kuwa eneo la makabiliano baina ya maafisa wa usalama na waandamanaji waliofika mapema kuhudhuria mkutano huo.