3 Apr 2026 1:12 pm | Citizen TV 3,698 views Duration: 31s Leo ikiwa ni siku ya mwisho kwa waathiriwa wa ghasia kuwasilisha madai yao ili kupata fidia, tume ya kutetea haki za binadamu KNCHR imewataka wale wote ambao bado hawajajiadikisha kufanya hivyo kabla ya siku hii kukamilika.