Waathiriwa wa mafuriko Tana River wanapata tabu

  • | Citizen TV
    2,163 views

    Huku serikali na mashirika ya kutoa msaada zikiwa mbioni kuwasaidia waathiriwa wa mafuriko nchini, katika eneo la Garsen kaunti ya Tana River, familia ambazo zilipoteza makao tangu novemba mwaka jana zinaomba msaada. familia zilizosalia kijijini zimekwama baada ya mto tana kuvunja kingo zake na mafuriko kuenea kote