Wabunge wa EALA: Vyama vya kisiasa vimewasilisha majina ya wanaopendekezwa EALA

  • | KTN News
    1,149 views

    Kenya Kwanza imewasilisha majina 15 bungeni. Muungano wa Azimio umewasilisha majina 11 Wabunge watachagua tisa bora Alhamisi