Wabunge wa Jubilee na ODM wakabiliana vikali kuhusu kamati

  • | K24 Video
    14 views

    Wabunge wa ODM na wenzao wa Jubilee katika muungano wa Azimio wamekabiliana vikali bungeni kutokana na mzozo kuhusu ugavi wa nyadhifa katika tume ya huduma za bunge na kamati mbali mbali. Hayo yakijiri, wabunge wameapa kutoenda kwa likizo ndefu ya msimu wa krismasi hadi mgao wa fedha za hazina ya ustawi wa maeneo bunge utakapotolewa na wizara ya fedha. Wabunge hao pia wameidhinishwa uteuzi wa japheth koome kama inspekta jenerali wa polisi.