Wabunge wa Magharibi wajitenga na Gachagua

  • | Citizen TV
    7,962 views

    Wabunge kutoka mkoa wa Magharibi wametangaza kujitenga na Naibu Rais Rigathi Gachagua na badala yake kumuunga mkono Waziri wa Usalama Profesa Kithure Kindiki. Wabunge hao wanamtaka rais kumteua kindiki kuwa naibu rais iwapo rigathi gachagua atabanduliwa kutoka ofisini. Viongozi hawa wamemshutumu naibu wa rais kwa kwa ukabila. Aidha wanamtaka mkuu wa mawaziri musalia mudavadi kuwania kiti cha urais katika uchaguzi wa mwaka wa 2032.