Skip to main content
Skip to main content

Wabunge wa ODM wataka Oparanya awe mgombea mwenza wa Ruto 2027

  • | Citizen TV
    14,482 views
    Duration: 3:28
    Wabunge wa chama cha ODM kutoka eneo la Magharibi sasa wanamshinikiza rais william ruto kuhakikisha kuwa eneo hilo limepewe nafasi ya mgombea mwenza wake katika Uchaguzi Mkuu ujao. Wabunge hao wanasema kuwa eneo la Magharibi lina idadi kubwa ya wapiga kura na hivyo linapaswa kuwa na usemi kuhusu uundaji wa serikali ijayo. Wabunge hao wanasema nafasi hiyo inafaa kutwaliwa na Naibu Kinara wa chama hicho, Wycliffe Oparanya, ili kuimarisha nafasi ya serikali hiyo kupata uungwaji mkono magharibi na ushindi kwa urahisi.