Skip to main content
Skip to main content

Wabunge washangazwa na utapeli wa simu magerezani

  • | Citizen TV
    1,424 views
    Katibu katika Idara ya Kurekebisha Tabia Salome Beacco ameshindwa kuelezea wabunge jinsi wafungwa wanavyopata simu za rununu gerezani ambazo wanatumia kuwapora Wakenya. Wabunge wanachama wa Kamati ya Uhasibu Bungeni wameshangazwa na kukamatwa kwa maafisa wawili wa magereza kwa kushirikiana na wafungwa katika kuendesha utapeli wa aina hii.