WABUNGE WATAKA UKWELI KUHUSU KIFO CHA ALBERT OJWANG’

  • | K24 Video
    1,134 views

    Wabunge wanataka uwazi na uwajibikaji kuhusu kifo cha bloga Albert Ojwang’ aliyefariki akiwa mikononi mwa polisi. Pia wametaka IPOA kutoa ripoti ya uchunguzi haraka.