Wabunge wanataka wasimamizi wa chuo cha mafunzo ya kiufundi cha Aldai kubadilishwa, kwa madai kuwa maafisa walioko sasa hawafai kuendelea kushikilia nyadhifa za umma. Aidha, wabunge wameagiza kuwa usimamizi wa chuo hicho utozwe faini ya shilingi milioni 3, ambazo zinapaswa kulipwa katika kipindi cha miezi sita.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive