Wabunge watakiwa kutumia vyema hazina ya CDF

  • | KBC Video
    6 views

    Wabunge wamehimizwa kutumia pesa za hazina ya serikali ya kitaifa ya ustawi wa maeneo bunge (NG-CDF) kufadhili miradi ya kuwapa wakenya uwezo wa kiuchumi. Afisa mkuu mtendaji wa hazina hiyo Yusuf Mbuno amesema miradi inayoweza kubadilisha maisha ya wakenya inafaa kupewa kipaumbele.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News