Wabunge watishia kutatiza shughuli za bunge wakilalamikia kushikiliwa kwa fedha za CDF

  • | Citizen TV
    1,120 views

    Wabunge sasa wanatishia kusambaratisha shughuli za bunge iwapo mgawo wa CDF hautafika kwenye akaunti za maeneo bunge yao karibuni. Katika kikao cha bunge la kitaifa leo alasiri, spika Mosses Wetangula amemtwika jukuma kiongozi wa walio wengi Kimani Ichungwa kufanya mkutano na Waziri wa Fedha Njuguna Ndung’u na kuwasilisha majibu bungeni jumanne ijayo.