Skip to main content
Skip to main content

Wachapishaji vitabu walalamikia kucheleweshwa kwa shilingi bilioni 11 kutoka kwa serikali

  • | KBC Video
    59 views
    Duration: 3:03
    Chama cha Wachapishaji vitabu nchini Kenya, kinaibua wasiwasi kuhusu kucheleweshwa kwa malipo kutoka kwa serikali hali ambayo inatatiza uchapishaji wa vitabu vya kiada vya gredi 10. Chama hicho kinasema wachapishaji vitabu wanadai zaidi ya shilingi bilioni 11, hali ambayo isiposhughulikiwa inaweza kukwamisha shughuli ya uchapishaji na usambazaji kabla ya mwaka ujao wa masomo Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive