Wachezaji watano watuzwa zaidi ya Ksh.100,000

  • | Citizen TV
    122 views

    Wachezaji watano wamejinyakulia zaidi ya shilingi laki moja katika mchezo wa shabiki supa jackpot. Hii ni baada ya kubashiri mechi 12 kati ya 15 kwa usahihi