Wadau Migori waelezea wasiwasi kuhusu utekelezwaji wa huduma za UHC

  • | Citizen TV
    140 views

    Baadhi ya wadau katika Kaunti ya Migori wameibua wasiwasi kuhusu utekelezwaji wa huduma ya afya kwa wote.