Wadau wa Elimu katika kaunti ya Kisii wapongeza vipaji vya wanafunzi

  • | Citizen TV
    190 views

    Washikadau katika sekta ya elimu wanazidi kuhimizwa kukumbatia mtaala wa CBC na kuzidi kukuza vipaji kama njia mojawapo ya kuimarisha talanta ya watoto wachanga.