Skip to main content
Skip to main content

Wadau wa elimu kisii wahofia vitabu vya gredi ya 10 havitakuwa tayari

  • | Citizen TV
    116 views
    Duration: 1:22
    Wadau wa elimu pamoja na wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na sekondari ya juu huko Kisii wameirai serikali kushughulikia uhaba wa walimu, vitabu na kuweka miundo msingi ya kufanikisha elimu ya wanafunzi wa gredi ya 10.