21 Jul 2026 1:15 pm | Citizen TV 160 views Duration: 1:39 Wadau wa elimu katika Kaunti ya Nandi wametoa wito kwa serikali na wadau husika kuchukua hatua kali kukabiliana na ongezeko la visa vya ulawiti vinavyowalenga wavulana wadogo shuleni.