- 448 viewsDuration: 1:44Wadau wa sekta ya elimu wameendelea kutoa wito kwa wazazi kuwapa watoto wao motisha wa kusoma kwa kuwatengea angalau dakika 15 kila siku, wakisema hatua hiyo ni muhimu katika kuimarisha uwezo wa kusoma na kuelewa miongoni mwa wanafunzi wa shule za msingi, hasa katika maeneo ya vijijini.