Wadau wa elimu wataka serikali itilie maanani elimu dijitali

  • | Citizen TV
    188 views

    Masomo ya kidijitali yametakiwa kuekezwa na kuzingitiwa na wizara ya elimu katika shule za msingi, upili na vyuo vikuu, ili kukuza uwezo wa wanafunzi kufanya uvumbuzi wa mitandao utakaoimarisha biashara za mitandaoni. Haya yamejiri kwenye hafla ya kutuza mashirika, kampuni na watu 100 waliobobea kuimarisha biashara kupitia mifumo ya kidijitali huko Diani, kaunti ya Kwale. Afisa mkuu wa teknolojia katika benki ya Absa Moses Okundi alitunzwa kama msimamizi bora wa kiteknologia wa mwaka 2022 katika hafla hiyo