Wadau wa sekta ya elimu kutoka Garissa wamesifia hatua ya kuondoa vizuizi vya kuchagua masomo

  • | KBC Video
    12 views

    Baadhi ya wadau wa sekta ya elimu na viongozi katika kaunti ya Garissa wamesifia hatua ya kuondoa vizuizi vya kuchagua masomo kwenye mtalaa wa umilisi yaani CBC.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channe: l: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive