Wadau wa utalii Pwani wataka wizara ya usalama na ya utalii kutatua mzozo wa umikili wa Pinewood

  • | Citizen TV
    192 views

    Wadau katika sekta ya utalii huko Pwani wameitaka wizara ya Usalama na ile ya Utalii kuingilia kati mzozo wa umiliki wa hoteli ya Pinewood mjini Diani kaunti ya Kwale na benki ya KCB uliosababisha hoteli hiyo kuvamiwa zaidi ya mara tatu mwaka huu.