Skip to main content
Skip to main content

Wadau walioudhuria kongamano laa TVET wataka kuzibwa kwa pengo la ujuzi kati ya wahitimu

  • | NTV Video
    483 views
    Duration: 1:21
    Kuna pengo linalozidi kujitokeza kati ya ujuzi wa wahitimu na uhalisia nyanjani. Taasisi zikijikuna vichwa jinsi ya kubadili namna zinavyowaandaa wanafunzi kwa ajili ya ajira, uzito zaidi ukiwa kwenye mafunzo ya umilisi. Wadau katika kongamano la kimataifa la elimu na ufundi jijini Nairobi, kuna haja ya kuziba pengo hilo Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya