Wadau wasema dhuluma za kijinsia zimeaongezeka katika kaunti ya Kisii

  • | Citizen TV
    142 views

    Washikadau katika sekta mbalimbali za kijamii walikongamana katika chuo cha kiufundi cha kitaifa cha Kisii kutoa hamasisho kwa vijana kuhusu ongezeko la visa vya dhulma za kijinsia.