Wadau wataka juhudi zaidi kuboresha zaidi kuwekwa ili uboresha mtaala wa Umilisi -CBC

  • | Citizen TV
    498 views

    Wazazi katika kaunti ya Kajiado wameeleza haja ya Juhudi zaidi kuwekwa ili uboresha mtaala wa Umilisi -CBC. Hatua hiyo itawawezesha wanafunzi kuvumbua vifaa mbalimbali na kutoa suluhu kwa changamoto mbalimbali ambazo zinalikumba taifa kama vile ukosefu wa Ajira, mabadiliko ya tabianchi miongoni mwa mengine.