Skip to main content
Skip to main content

Wadau wataka mafunzo kabla ya tathmini ya KJSEA

  • | Citizen TV
    274 views
    Duration: 2:35
    Wadau wa elimu wanaitaka wizara ya elimu kuhakikisha kuwa zaidi ya wanafunzi milioni moja nukta mbili wa gredi ya tisa wamepata maandalizi ya kutosha kabla ya tathmnini ya mwisho ya sekondari msingi - KJSEA. Wanafunzi hao wanatarajiwa kutathminiwa kuanzia mwisho wa mwezi oktoba ili kujiunga na gredi ya kumi mwaka ujao.