Katika juhudi za kuchochea ubunifu na kufungua masoko mapya kwa vijana barani Afrika, wadau wanatoa wito wa kuimarishwa kwa ushirikiano miongoni mwa vijana ili kutumia kikamilifu fursa zinazopatikana katika sekta ya ubunifu.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya