Skip to main content
Skip to main content

Wafanyabiashara Eastleigh walalamikia ukosefu wa huduma bora

  • | KBC Video
    13,063 views
    Duration: 2:54
    Baadhi ya wafanyabiashara na wakazi wa mtaa wa Eastleigh jijini Nairobi wamelalamikia kuzorota kwa miundombinu na huduma katika eneo hilo. Wamesema kuwa kando na barabara mbovu, pia wanakabiliwa na uhaba wa maji pamoja na kukatika kwa umeme mara kwa mara, hali inayowalazimu kutegemea majenereta. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive