Skip to main content
Skip to main content

Wafanyabiashara Kwale wapinga mswada wa udhibiti wa tumbaku

  • | Citizen TV
    92 views
    Duration: 2:01
    Baadhi ya wafanyabiashara kutoka kaunti ya Kwale wanapinga mswada wa marekebisho wa kudhibiti uuzaji bidhaa za tumbaku wa mwaka 2024 uliowasilishwa kwenye bunge la seneti na kutaka uondolewe wakisema utaadhiri biashara zao.