Wafanyabiashara wa vyuma vikuukuu wahusishwa na wizi

  • | Citizen TV
    290 views

    Polisi mjini Kajiado wanaendeleza masako dhidi ya wizi wa mitambo ya umeme ya visima vya maji na wachuuzi wa vyuma vikuukuu