Wafanyabiashara waitaka serikali kumaliza vita DRC

  • | VOA Swahili
    594 views
    Video hii inaonyesha wafanyabiashara ya usafiri wa pikipiki kwenye soko kuu la Kituku pembeni ya Ziwa Kivu, DRC. Pamoja na wafanyabiashara wengine ikiwemo wa mkaa kutoka kwenye vijiji mbali mbali ambavyo vipo karibu na eneo linalo dhibitiwa na M23 na wengine wakiwa karibu na eneo ambapo mapigano yanaendelea, ambapo barabara zote zipo mikononi mwa waasi wa M23. Ungana na mwandishi wetu wa Goma, Austere Malivika akiwahoji wafanyabiashara kuhusu hali ya vita inayoendelea katika eneo. Endelea kusikiliza... #goma #kivukaskazini #jimbo #waasi #m23 #raia #makombora #sake #gavana #cirimwani #mejajenerali #voa #voaswahili