24 Nov 2025 10:42 am | Citizen TV 182 views Duration: 1:59 Wafanyabiashara wadogo katika kaunti ya Kajiado wamepinga vikali nia ya serikali ya kaunti hiyo kuongeza Ushuru kupitia mswada wa kifedha wa mwaka wa 2025/2026.