Skip to main content
Skip to main content

Wafanyabiashara wataka kamera za kupima kasi ziezekwe barabarani kuu ya Kenol kuelekea Marua

  • | Citizen TV
    598 views
    Duration: 4:01
    Wakazi na wafanyabiashara ambao huhudumu kando ya barabara kuu ya Kenol kuelekea Marua waitaka serikali kuweka Kamera za barabarani ili kuwaudhibiti madereva wanaoendesha magari kwa kasi na kusababisha ajali eneo hilo. Japo barabara hiyo yapunguza kwa kiasi kikubwa muda wa usafiri na kuchangia kuimarika kwa uchumi na biashara, doa la ajali lawakosesha wakazi amani.