Skip to main content
Skip to main content

Wafanyakazi wa kaunti walalamikia kutohusishwa kwa tathmini mpya ya mishahara

  • | KBC Video
    181 views
    Duration: 2:38
    Muungano wa wafanyakazi wa kaunti umelipa baraza la magavana na tume ya mishahara na marupurupu siku saba kuwajumuisha wafanyakazi hao katika mpango wa kutathmini upya mishahara, la sivyo wataitisha mgomo katika kaunti zote 47. Katibu mkuu wa muungano huo Roba Duba, amelishtumu baraza hilo kwa kuendelea kuingiza siasa katika suala la mishahara ya wafanyakazi wa kaunti. Sasa muungano huo, unataka kufahamishwa ni kwa nini wafanyakazi wa kaunti hawakujumuishwa katika mpango huo mpya. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive