Wafanyakazi wa kunadhifisha jiji kuu kupewa ajira ya kudumu

  • | Citizen TV
    116 views

    Bodi ya huduma za umma nairobi imeanza kuwahoji wafanyakazi 4,065 wa green army kwa lengo la kuwathibitisha kwenye ajira za kudumu na zenye pensheni.