- 851 viewsDuration: 3:01Haya yanapojiri, baadhi ya wafanyakazi waliohudumu kwenye hazina ya NHIF iliyovunjiliwa mbali wamesalia kwenye njia panda baada ya kukosa kuajiriwa tena baada ya kuanza kwa bima ya SHA. Wafanyakazi hawa wanasema tume ya huduma za umma ilikosa kuwaajiri na kuwacha kuwalipa mishahara, licha ya kusaini hatua ya kukubali kuhamishwa kwenye idara nyingine serikalini.