Wafanyibiashara wa miraa Maralal waathirika na mafuriko yanayozidi kushuhudiwa kaunti hiyo

  • | Citizen TV
    207 views

    Wafanyibiashara wa Miraa mjini Maralal Kaunti ya Samburu,wameelezea kuathirika zaidi na mafuriko yanayozidi kushuhudiwa kaunti hiyo.