Wafanyikazi 2,000 wa umma wana vyeti ghushi

  • | Citizen TV
    1,733 views

    Huenda wafanyikazi elfu mbili wa umma ambao wanachunguzwa kwa kutumia vyeti ghushi ili kupata ajira wakaachishwa kazi pamoja na kupoteza mali waliopata katika muda wote waliokuwa kazini.