Wafanyikazi wa kiwanda cha sukari cha Nzoia waandamana kupinga kukodishwa kwa kiwanda hicho

  • | Citizen TV
    286 views

    Shughuli ya usafiri ilitatizika kwenye barabara kuu ya Webuye-Malaba baada ya wafanyikazi wa kiwanda cha sukari cha Nzoia kuandamana kupinga kukodishwa kwa kiwanda hicho kwa mfanyibiashara Jaswant Rai.