Wafanyikazi wa muungano wa wakulima wadai pesa walizoahidiwa miaka 2 iliyopita

  • | Citizen TV
    71 views

    Wafanyikazi wa muungano wa wakulima wametoa ilani ya mgomo iwapo hawatalipwa malimbikizi ya marupurupu yao. Wafanyikazi hao wamasema pesa hizo ziliafikiwa kufuatia mkutano na Chama Cha wafanyikazi (COTU) miaka miwili iliyopita.vile vile waliwaonya wakurugenzi wa kampuni zinazolazimisha wafanyikazi kufika kazini siku za likizo wakitaja hali hiyo Kama hujuma za haki za wafanyi kazi.