Wafanyikazi wa shirika la posta jijini Nakuru waanza mgomo wakilalamikia kutolipwa kwa miezi tano

  • | Citizen TV
    545 views

    Mgomo huo wa Wafanyikazi wa shirika la posta nchini pia unafanyika katika kaunti ya Nakuru ambapo wafanyikazi hao wanalalamikia kucheleweshwa kwa mishahara yao kwa miezi 5. Evans Asiba anafuatilia tukio hilo naanaungana nasi mubashara kutoka nakuru.